L!`,&a,%,,, ,,,,,, - --/-B- T-a- j- v-- 444 444 555 5 5 5 66%6#76[6 a6n6 666 66 66 6 6$7&7 =73K7 777777 7788 8$838;8K8Q8 Z8f88 8 8 8 8 8 888;8/%95U9199'9)9:: ':2:B: H:U:u::::: ::_:\L; ;; ;;; ;<<*<2<D<^<Wv<<<<<>=B=V= e=/q===6= ==6>*>>3i>>>>.>? ??=&?3d????-?@@ @(@<@ Y@f@e|@ @@AAA A(A B2B:BJB!_BB BBBBBB(BC*1C*\CCCCC C C:CA*DlD|DDDD<DE*E 9EDEVE qE{EEE1FHFYFbFFGH H#H8,HeHlHHHHHHH0 I :I EI OI ]I hIsI I)IIII IIJJJ#J(K=K UK bKmKQKKK K KL.LALELHLZLjL }LL LLhL M"MM NBNVN[NjNsNN!NNNN O O O %O0O8O AOLO kO uOO OOO OOOOO P P P*P ;PIPXP ^P kPuPP~P PPP^P\Q bQlQsQ-zQQ Q QQRSRvkRR%RS9.S=hS2SSDSJ>TTy UUU UUUD V#PV tVV VV V&V VVW WW 7W AW$KW'pWWlW6X9KX XNX YY Z%Z?ZHZWZgZyZZZZZZZ/Z<[/W[4[3[L[M=\\1]:^^&_Gasda}aVb,b: cTEccbtddvege{df7fg_g>hxEh3h|hoiYjAukwk@/lplr mfmlm{TnWn4(o]oP_pp6q1qrr0r 6r!Arcrwrr rrr rr rrr rrrr rs s)s/s,MxCzx xybyNFz,z/z!z&{>;{z{V{{{'|/|3|<|N|n|t| |||| |||3| -}:}N}_}t}&}}}}}~9~ V~ b~n~~~ ~~ ~~~Z~4a$T ht}6 }@WZW^ ]iDŽf`Dž\*Mqx/5 :<E ʈш2c'Ɗ ϊۊ"2A\ x B $< )3HXhy)ڔ ;KS Zgo1ŕߕ>2FW$r(֖"  * 6 AO ` j u" ŗ ӗ ߗ D;UE<ט (,Gt| #י   $/qOq 3?[jp  $ћ$Tp E'#K[Jp Ý<ϝ& 53i"p+ԞE'I)q/Ɵ   / P^x} ١ -Kfo$ɢ8 ?+`#,-ݣ) 5RXr ?Jդ 8T!g!< % ?I_u4:. 6 D>P֩!2?G  Ϫ ,& @Kcv ̬"k&$̭  )28 K|X ծЯJׯ"(8H$c'!Ұ  !,4< B co   űޱ , 7 B NY r ]' H|Sг׳- -&:asd~ j)u?282kHPҶ#i %øI*3 ^i  'Ϲ&&B U<b=ݺzJpJ -#! /7I[l"~%!.FA736O+O{w)!1OSc|0 @=O~t{t-FaWGu@xVwAn>9pmmX\6SIFG0 (8 =HL U a m w  J0cDaJH+0&,>D[ )#MRk# .9M5.%Tt? -@ GR X cow]~byE^ +?wD*s[SSNeenhy-m),  ?5 : DOV s~ &bP`9 bQj($@ZOA' +)u<X#,*5hZ%l m/x:Kc[f! \ `z^;o8=dgV#{ ]au7 -:5&Ot,z";~Tx*=4_H s?lC}v6E+KI)|D3@c}wF r| a "q>Dw2kT sM1v$WiBJ\LUA8r? MRNG0>/n{EW<nC4J~o-k^206LGQ S3 .PBq_97YI!UN[j]HV tFX(Rfdyiy%m.p1eeY'hgSp Dumped content to vlc-help.txt file. Press the RETURN key to continue... %.2f dB%s Range%s [%s %d]%u Hz%u kb/s&About&Advanced Open...&Codec Information&Messages&Open File...&VLM Configuration(default disabled)(default enabled)1:1 Original1:2 Half1:4 Quarter2:1 Double

Welcome to VLC media player Help

Documentation

You can find VLC documentation on VideoLAN's wiki website.

If you are a newcomer to VLC media player, please read the
Introduction to VLC media player.

You will find some information on how to use the player in the
"How to play files with VLC media player" document.

For all the saving, converting, transcoding, encoding, muxing and streaming tasks, you should find useful information in the Streaming Documentation.

If you are unsure about terminology, please consult the knowledge base.

To understand the main keyboard shortcuts, read the shortcuts page.

Help

Before asking any question, please refer yourself to the FAQ.

You might then get (and give) help on the Forums, the mailing-lists or our IRC channel (#videolan on irc.freenode.net).

Contribute to the project

You can help the VideoLAN project giving some of your time to help the community, to design skins, to translate the documentation, to test and to code. You can also give funds and material to help us. And of course, you can promote VLC media player.

ASCIIVLCASCIIVLC media playerAccess modulesAccess outputAccess output moduleAccess output modules control the ways the muxed streams are sent. This setting allows you to always force a specific access output method. You should probably not do that. You can also set default parameters for each access output.AccessibilityActorsAdd Directory...Add File...Add Folder...Add InterfaceAdd to PlaylistAdvancedAdvanced settingsAdvanced settings. Use with care...AlbumAlbum ArtistAlbum replay gainAlways on topAlways place the video window on top of other windows.AnimationArtistArtwork URLAudioAudio TrackAudio codecsAudio desynchronization compensationAudio filtering failedAudio filtersAudio filters are used to process the audio stream.Audio gainAudio languageAudio output moduleAudio output volume stepAudio resamplerAudio settingsAudio trackAudio track IDAudio visualizationsAutoAutomaticBest availableBitrateBits per sampleBlendBookmarkBookmark %iBookmarks list for a streamBottomBottom CenterBottom LeftBottom leftBottom rightBottom-LeftBottom-RightBuffer dimensionsCCaching value for cameras and microphones, in milliseconds.Caching value for local files, in milliseconds.Caching value for network resources, in milliseconds.Caching value for optical media, in milliseconds.CenterChange title according to current mediaChanges the subtitles size where possibleChannelsChapterChapter %iChroma locationClearClock jitterClock reference average counterClock synchronisationClosed captions %uCodecCodec not supportedColor primariesColor spaceColor transfer functionComma separated list of aspect ratios which will be added in the interface's aspect ratio list.Comma separated list of crop ratios which will be added in the interface's crop ratios list.CommunicationCompiled by %s on %s (%s) Compiler: %s ConsoleControl interfacesCopyrightCreate Directory...Create Folder...CubemapCustom &BookmarksCustom aspect ratios listCustom crop ratios listCustom title for the video window (in case the video is not embedded in the interface).DTVCC Closed captions %uDateDecoded formatDefaultDefault multicast interface. This overrides the routing table.Default replay gainDefault streamDeinterlaceDeinterlace method to use for video processing.Deinterlace modeDemuxersDemuxers are used to separate audio and video streams.DescriptionDirectorDirectory used to store the timeshift temporary files.Directory where the records will be storedDirectory where the video snapshots will be stored.DisableDisable all lua pluginsDisable screensaverDisable the screensaver during video playback.Disc caching (ms)Disc numberDiscardDisplay the snapshot preview in the screen's top-left corner.Display the title of the video on top of the movie.Display video snapshot previewDolby SurroundDrop late framesEmbed the video output in the main interface.Embedded videoEnableEnable audioEnable sub-picturesEnable time stretching audioEnable videoEnable wallpaper modeEnables framedropping on MPEG2 stream. Framedropping occurs when your computer is not powerful enoughEncoded byEnforce the alignment of the video in its window. By default (0) it will be centered (0=center, 1=left, 2=right, 4=top, 8=bottom, you can also use combinations of these values, like 6=4+2 meaning top-right).EpisodeEquirectangularExtra interface modulesFast seekFavor speed over precision while seekingFile caching (ms)FiltersFix HDTV heightForce S/PDIF supportForce detection of Dolby SurroundForce subtitle positionFrame rateFullFull HD (1080p)Fullscreen video outputGameGeneral audio settingsGeneral input settings. Use with care...General playlist behaviourGeneral settings for audio output modules.General settings for video output modules.General stream output settingsGeneral video settingsGenreGrayscale video outputHD (720p)HeadphonesHide cursor and fullscreen controller after x millisecondsHide mouse cursor and fullscreen controller after n milliseconds.Hop limit (TTL)Hotkeys settingsHybrid Log-GammaITU-R BT.601 (525 lines, 60 Hz)ITU-R BT.601 (625 lines, 50 Hz)Image format which will be used to store the video snapshotsInformation...Input / CodecsInput listInput repetitionsInput slave (experimental)InterfaceInterface interactionInterface moduleIt is possible to disable the input clock synchronisation for real-time sources. Use this if you experience jerky playback of network streams.Jump to Specific &TimeKey press eventsLanguageLanguage of the audio track you want to use (comma separated, two or three letter country code, you may use 'none' to avoid a fallback to another language).Language of the menus you want to use with DVD/BluRay (comma separated, two or three letters country code, you may use 'any' as a fallback).Language of the subtitle track you want to use (comma separated, two or three letters country code, you may use 'any' as a fallback).LeftLeft bottomLeft topLet the video scale to fit a given window or fullscreen.LinearLive capture caching (ms)Low Definition (360 lines)MTU of the network interfaceMain interfacesMain interfaces settingsMax. luminanceMedia &InformationMedia (player) role for operating system policy.Media roleMedia: %sMenu languageMenu popupMenu titleMin. luminanceMiscellaneousMiscellaneous audio settings and modules.Monitor pixel aspect ratioMonoMouse GesturesMouse eventsMulticast output interfaceMusicMuteMuxersMuxers create the encapsulation formats that are used to put all the elementary streams (video, audio, ...) together. This setting allows you to always force a specific muxer. You should probably not do that. You can also set default parameters for each muxer.Network caching (ms)Network synchronisationNext chapterNext titleNo description for this codecNo matching module found. Use --list or --list-verbose to list available modules.NoneNote:NotificationNow PlayingNumber of TracksNumber of time the same input will be repeatedOffOnOn Screen DisplayOpen &Folder...Open D&irectory...OrientationOriginalOriginal IDOutput modulesOutput video in grayscale. As the color information aren't decoded, this can save some processing power.PacketizersPacketizers are used to "preprocess" the elementary streams before muxing. This setting allows you to always force a packetizer. You should probably not do that. You can also set default parameters for each packetizer.Peak protectionPitchPlace on video where to display the title (default bottom center).PlayPlayback speedPlaylistPosition of video titlePrefer native stream recordingPreferred Closed Captions decoderPreferred video resolutionPrevious chapterPrevious titlePrimary BPrimary GPrimary RProductionProgramProgramsProjectionProtect against sound clippingPublisherQuiet synchroRandomRandom OffRatingRecord directoryRectangularRemember the audio volumeRemove SelectedRename Directory...Rename Folder...Repeat AllRepeat OneReplay gainReplay gain modeReplay preampReverse stereoRightRight bottomRight topRun timeRunning vlc with the default interface. Use 'cvlc' to use vlc without interface.Sample rateSave Playlist to &File...Save...Scaling factor used when Auto Scaling is disabled. Default value is 1.0 (original video size).ScopeScrambledSearchSeasonSelect "Advanced Options" to see all options.Select DirectorySelect FolderSelect one or more files to openSelect the replay gain modeServices discoveryServices discovery modules are facilities that automatically add items to playlist.Sets the audio output channels mode that will be used by default if your hardware and the audio stream are compatible.SettingSettings for VLC's control interfacesSettings for VLC's interfacesSettings for input, demultiplexing, decoding and encodingSettings for subtitle, teletext and CC decoders and encoders.Settings for the audio-only decoders and encoders.Settings for the main interfaceSettings for the video, images or video+audio decoders and encoders.Settings related to On-Screen-Display, subtitles and "overlay subpictures"Settings related to playlist behaviour (e.g. playback mode) and to modules that automatically add items to the playlist ("service discovery" modules).Settings related to the various access methods. Common settings you may want to alter are HTTP proxy or caching settings.Show Containing Directory...Show Containing Folder...Show NameShow advanced optionsShow media title on videoShow the video title for n milliseconds, default is 5000 ms (5 sec.)Show video title for x millisecondsSkip framesSource aspect ratioSpectrometerSpectrumSplittersStandard Definition (576 or 480 lines)Start timeStart video in fullscreen modeStereoStereo audio modeStereo audio output modeStop timeStream %dStream ID of the audio track to use.Stream ID of the subtitle track to use.Stream filtersStream filters are special modules that allow advanced operations on the input side of VLC. Use with care...Stream number of the audio track to use (from 0 to n).Stream number of the subtitle track to use (from 0 to n).Stream outputStream output settings are used when acting as a streaming server or when saving incoming streams. Streams are first muxed and then sent through an "access output" module that can either save the stream to a file, or stream it (UDP, HTTP, RTP/RTSP). Sout streams modules allow advanced stream processing (transcoding, duplicating...).Stream...Streaming / Transcoding failedSubpictures filter moduleSubpictures source moduleSubtitleSubtitle TrackSubtitle codecsSubtitle languageSubtitle trackSubtitle track IDSubtitles / OSDSubtitles text scaling factorTelnetTestText rendering moduleThe maximum number of filters (%u) was reached.The step size of the volume is adjustable using this option.The stream will run this duration (in seconds).The stream will start at this position (in seconds).The stream will stop at this position (in seconds).The volume can be recorded and automatically restored next time VLC is used.The wallpaper mode allows you to display the video as the desktop background.These options allow you to configure the interfaces used by VLC. You can select the main interface, additional interface modules, and define various related options.These options allow you to modify the behavior of the audio subsystem, and to add audio filters which can be used for post processing or visual effects (spectrum analyzer, etc.). Enable these filters here, and configure them in the "audio filters" modules section.These options allow you to modify the behavior of the input subsystem, such as the DVD or VCD device, the network interface settings or the subtitle channel.These options allow you to modify the behavior of the subpictures subsystem. You can for example enable subpictures sources (logo, etc.). Enable these filters here and configure them in the "subsources filters" modules section. You can also set many miscellaneous subpictures options.These options allow you to modify the behavior of the video output subsystem. You can for example enable video filters (deinterlacing, image adjusting, etc.). Enable these filters here and configure them in the "video filters" modules section. You can also set many miscellaneous video options.This adds audio post processing filters, to modify the sound rendering.This adds post-processing filters to enhance the picture quality, for instance deinterlacing, or distort the video.This adds so-called "subpicture filters". These filter subpictures created by subtitle decoders or other subpictures sources.This adds so-called "subpicture sources". These filters overlay some images or text over the video (like a logo, arbitrary text, ...).This adds video splitters like clone or wallThis adds visualization modules (spectrum analyzer, etc.).This allows playing audio at lower or higher speed without affecting the audio pitchThis allows proper handling of HDTV-1080 video format even if broken encoder incorrectly sets height to 1088 lines. You should only disable this option if your video has a non-standard format requiring all 1088 lines.This allows you to change the default target level (89 dB) for stream with replay gain informationThis allows you to play from several inputs at the same time. This feature is experimental, not all formats are supported. Use a '#' separated list of inputs.This allows you to remotely synchronise clocks for server and client. The detailed settings are available in Advanced / Network Sync.This avoids flooding the message log with debug output from the video output synchronization mechanism.This defines the maximum input delay jitter that the synchronization algorithms should try to compensate (in milliseconds).This defines the playback speed (nominal speed is 1.0).This delays the audio output. The delay must be given in milliseconds. This can be handy if you notice a lag between the video and the audio.This drops frames that are late (arrive to the video output after their intended display date).This enables VLC hotkeys from the (non-embedded) video window.This enables colorization of the messages sent to the console. Your terminal needs Linux color support for this to work.This enables handling of mouse clicks on the video.This forces the cropping of the source video. Accepted formats are x:y (4:3, 16:9, etc.) expressing the global image aspect.This forces the monitor aspect ratio. Most monitors have square pixels (1:1). If you have a 16:9 screen, you might need to change this to 4:3 in order to keep proportions.This forces the source aspect ratio. For instance, some DVDs claim to be 16:9 while they are actually 4:3. This can also be used as a hint for VLC when a movie does not have aspect ratio information. Accepted formats are x:y (4:3, 16:9, etc.) expressing the global image aspect, or a float value (1.25, 1.3333, etc.) expressing pixel squareness.This is a legacy entry to let you configure access output modulesThis is the audio output method used by VLC. The default behavior is to automatically select the best method available.This is the gain used for stream without replay gain informationThis is the hop limit (also known as "Time-To-Live" or TTL) of the multicast packets sent by the stream output (-1 = use operating system built-in default).This is the main interface used by VLC. The default behavior is to automatically select the best module available.This is the maximum application-layer packet size that can be transmitted over the network (in bytes).This is the maximum size in bytes of the temporary files that will be used to store the timeshifted streams.This is the the video output method used by VLC. The default behavior is to automatically select the best method available.This is the verbosity level (0=only errors and standard messages, 1=warnings, 2=debug).This linear gain will be applied to outputted audio.This option allows you to set the title according to what's being played
$a: Artist
$b: Album
$c: Copyright
$t: Title
$g: Genre
$n: Track num
$p: Now playing
$A: Date
$D: Duration
$Z: "Now playing" (Fall back on Title - Artist)This option should be used when the audio output can't negotiate S/PDIF support.This program comes with NO WARRANTY, to the extent permitted by law. You may redistribute it under the terms of the GNU General Public License; see the file named COPYING for details. Written by the VideoLAN team; see the AUTHORS file. This selects which plugin to use for audio resampling.This stream will always be opened at VLC startup.Timeshift directoryTimeshift granularityTitleTitle %i%sTo get exhaustive help, use '-H'.Tooltip|ClearClearTooltip|MuteMuteTopTop CenterTop LeftTop leftTop rightTop-LeftTop-RightTrackTrack IDTrack numberTrack replay gainTypeURLUndefinedUnidentified codecUnknown errorUnsetUsage: %s [options] [stream] ... You can specify multiple streams on the commandline. They will be enqueued in the playlist. The first item specified will be played first. Options-styles: --option A global option that is set for the duration of the program. -option A single letter version of a global --option. :option An option that only applies to the stream directly before it and that overrides previous settings. Stream MRL syntax: [[access][/demux]://]URL[#[title][:chapter][-[title][:chapter]]] [:option=value ...] Many of the global --options can also be used as MRL specific :options. Multiple :option=value pairs can be specified. URL syntax: file:///path/file Plain media file http://host[:port]/file HTTP URL ftp://host[:port]/file FTP URL mms://host[:port]/file MMS URL screen:// Screen capture dvd://[device] DVD device vcd://[device] VCD device cdda://[device] Audio CD device udp://[[]@[][:]] UDP stream sent by a streaming server vlc://pause: Pause the playlist for a certain time vlc://quit Special item to quit VLC Use sequential numbers instead of timestampsUse sequential numbers instead of timestamps for snapshot numberingUse this when you know your stream is (or is not) encoded with Dolby Surround but fails to be detected as such. Even if the stream is not actually encoded with Dolby Surround, turning on this option might enhance your experience, especially when combined with the Headphone Channel Mixer.VLCVLC can avoid creating window caption, frames, etc... around the video, giving a "minimal" window.VLC can display messages on the video. This is called OSD (On Screen Display).VLC could not decode the format "%4.4s" (%s)VLC could not identify the audio or video codecVLC could not open the %s module.VLC could not open the decoder module.VLC is unable to open the MRL '%s'. Check the log for details.VLC media playerVLC normally uses Freetype for rendering, but this allows you to use svg for instance.VLC preferencesVLC version %s (%s) VLC's implementation of Video On DemandVODVU meterVerbosity (0,1,2)Very Low Definition (240 lines)VideoVideo Auto ScalingVideo TrackVideo X coordinateVideo Y coordinateVideo alignmentVideo codecsVideo croppingVideo filter moduleVideo filters are used to process the video stream.Video heightVideo output moduleVideo resolutionVideo scaling factorVideo settingsVideo snapshot directory (or filename)Video snapshot file prefixVideo snapshot formatVideo snapshot heightVideo snapshot widthVideo splitter moduleVideo splitters separate the stream into multiple videos.Video titleVideo widthViewPointField of viewViewPointPitchViewPointRollViewPointYawVisualizationsVolume %ld%%WavesWebWhen possible, the input stream will be recorded instead of using the stream output moduleWhen several video formats are available, select one whose resolution is closest to (but not higher than) this setting, in number of lines. Use this option if you don't have enough CPU power or network bandwidth to play higher resolutions.When this is enabled, the interface will show a dialog box each time some user input is required.When this is enabled, the preferences and/or interfaces will show all available options, including those that most users should never touch.When using the PVR input (or a very irregular source), you should set this to 10000.White pointWindow decorationsYesYou can completely disable the audio output. The audio decoding stage will not take place, thus saving some processing power.You can completely disable the sub-picture processing.You can completely disable the video output. The video decoding stage will not take place, thus saving some processing power.You can enforce the height of the video snapshot. By default it will keep the original height (-1). Using 0 will scale the height to keep the aspect ratio.You can enforce the position of the top left corner of the video window (X coordinate).You can enforce the position of the top left corner of the video window (Y coordinate).You can enforce the video height. By default (-1) VLC will adapt to the video characteristics.You can enforce the video width. By default (-1) VLC will adapt to the video characteristics.You can enforce the width of the video snapshot. By default it will keep the original width (-1). Using 0 will scale the width to keep the aspect ratio.You can give a comma-separated list of inputs that will be concatenated together after the normal one.You can manually give a list of bookmarks for a stream in the form "{name=bookmark-name,time=optional-time-offset,bytes=optional-byte-offset},{...}"You can select "additional interfaces" for VLC. They will be launched in the background in addition to the default interface. Use a colon separated list of interface modules. (common values are "rc" (remote control), "http", "gestures" ...)You can select control interfaces for VLC.You can use this option to place the subtitles under the movie, instead of over the movie. Try several positions.You can zoom the video by the specified factor.Your input can't be openedZoomZoom videoadd --advanced to your command line to see advanced options.booleandecoderfloatintegerlibavformat AVIO access outputpacketizerstringProject-Id-Version: vlc 3.0.13 Report-Msgid-Bugs-To: vlc-devel@videolan.org PO-Revision-Date: 2017-12-10 22:48+0000 Last-Translator: Njau Kariuki , 2022 Language-Team: Swahili (https://app.transifex.com/yaron/teams/16553/sw/) Language: sw MIME-Version: 1.0 Content-Type: text/plain; charset=UTF-8 Content-Transfer-Encoding: 8bit Plural-Forms: nplurals=2; plural=(n != 1); Maudhui yalibwagwa katika faili ya vlc-help.txt. Bonyeza dota RUDISHI ili kuendelea... %.2f dB%s Msafa %s [%s %d]%u Hz%u kb/sKuhusuFungua kwa umahiri...Taarifa kuhusu kodekiJumbeFungua Faili...Msabidi wa VLM(chaguo-msingi imelemazwa)(chaguo-msingi imewezeshwa)1:1 Asili1:2 Nusu1:4 Robo2:1 Maradufu

Karibu kwenye Kisaidizi cha kichezaji midia cha VLC

Waraka wa Kiufundi

Unaweza kupata waraka wa kiufundi katika tovuti ya VideoLANwiki.

Kama wewe u mgeni kwa kichezaji midia cha VLC, tafadhali soma .

Utapata maelekezo ya kukusaidia kutumia kichezaji katika hati ya
"
Jinsi ya kucheza faili kutumia kichezaji midia cha VLC" .

Kwa ajili ya matendo yote ya kuhifadhi, kubadilisha msimbo, kusimba, kusimbua, kuunganisha na kutiririsha, utapata maelekezo muhimu katikaWaraka wa Kiufundi wa Kutiririsha.

Kama huna uhakika na maneno, tafadhali tazama kanzi ya maarifa.

Ili kuelewa vibonye mkato, soma ukurasa wa njia mkato.

Usaidizi

Kabla ya kuuliza swali lolote, tafadhali rejelea maswali ya kawaida FAQ.

Kisha unaweza pata (na pia upatiane) usaidizi katika Majukwaa, orodha za baruapepe au chaneli yetu ya IRC (#videolan katika irc.freenode.net).

Changia kwenye mradi

Unaweza kusaidia mradi wa VideoLAN kwa kuupa wakati wako kusaidia jamii ya watumiaji, kubuni violesura vipya, kutafsiri nyaraka za kiufundi, na kuikagua programu na kuprogramu. Unaweza pia kututumia fedha na vifaa kutusaidia. Pia, unaweza kutangaza kichezaji midia cha VLC.

VLCKichezaji cha midia cha VLCVitengo vya kufikiaTowe fikiziKitengo cha towe fikiziVitengo vya towe fikizi hudhibiti jinsi mitiririko iliyounganishwa hutumwa. Mpangilio huu hukuwezesha kushurutisha mbinu maalum ya towe fikizi. Hufai kufanya hivyo. Pia, unaweza kuweka vigezo chaguo-msingi kwa kila towe fikizi.UfikiajiWaigizajiOngeza Mwongolezo...Ongeza Faili...Ongeza Folda...Ongeza KiolesuraOngeza kwenye Orodha ChezeshiMahiriMipangilio ya juuMipangilio ya juu. Tumia kwa tahadhari...AlbamuMsanii wa AlbamuRG ya AlbamuJuu kila wakatiWeka dirisha la video juu ya madirisha mengine kila wakati.UhuishiMsaniiURL ya sanaaUsikikoNakala ya UsikikoKodeki za usikikoFidia kutokana na ukatizaji usawinishi wa usikikoImeshindwa kuchuja sikikoVichujio vya sikikoVichujio vya sikiko vinatumika kuchakata mtiririko wa usikiko.Ongezeko la usikikoLugha ya usikikoKitengo cha kutolea sikikoKiwango cha sauti ya towe la usikikoKichezaji-kichanganyaji tena cha usikikoMipangilio ya usikikoNakala ya usikikoKitambulisho cha nakala ya usikikoUonyeshaji usikikoKiotomatikiKiotomatikiBora zaidiKima cha bitiBiti kwa sampuliChanganyaKialamishoKialamisho %iOrodha ya vialamisho vya mtiririkoChiniChini KatiChini KushotoChini kushotoChini kuliaChini-KushotoChini-KuliaVipandeolwa vya bafaCThamani ya uhifadhimuda wa kamera na maikrofoni, katika milisekunde.Thamani ya hifadhimuda ya faili janibu, katika milisekunde.Thamani ya uhifadhimuda wa rasilimali za mtandao, katika milisekunde.Thamani ya uhifadhimuda wa diski maonzi, katika milisekunde.IliyokatiBadili kichwa kulingana na midia iliyopoHubadilisha ukubwa wa manukuu panapowezekanaChaneliSuraSura %iEneo la kikoleza rangiFutaTukuto la saaRejeleo la wastani wa kaunta wa saaUsawinishi wa saaManukuu %uKisisimbuziKisisimbuzi hakimwegwiRangi msingiEneo rangiKitendakazi cha kuhamisha rangiOrodha ya wiano kima-upana zilizogawanywa kwa koma zitakazoongezwa kwenye orodha ya wiano kima-upana za kiolesuraOrodha ya wiano za upunaji zilizogawanywa kwa koma zitakazoongezwa kwenye orodha ya wiano za upunaji za kiolesuraMawasilianoIlikonganywa na %s %s (%s) Mkonganyi: %s DunguViolesura vya udhibitiHatimilikiUnda Mwongolezo...Unda FoldaRamanimrabaVialamisho TanafsifuOrodha tanafsifu ya wiano kima-upanaOrodha tanafsifu ya wiano za upunajiKichwa tanafsifu cha dirisha la video (kama video haijachopekwa ndani ya kiolesura).Manukuu ya DTVCC %uTareheMuundo UliosimbuliwaChaguo-msingiKiolesura cha kusiasia chaguo-msingi. Hubatilisha jedwali la kulekezaRG chaguo-msingiMtiririko chaguo-msingiFumuaMbinu ya kufumua katika kuchakata videoHali ya kufumuaVitenganishaji midiaVitenganishaji midia hutumika kutenganisha mitiririko ya usikiko kwa videoMaelezoMwelekezajiMwongolezo unaotumiwa kuhifadhi faili za muda za badilimuda.Mwongolezo ambapo rekodi zitahifadhiwaMwongolezo ambapo taswiratuli za video zitahifadhiwa.LemazaLemaza programu-jalizi zote za luaLemaza kiokoa skriniLemaza kiokoa skrini wakati video inacheza.Uhifadhimuda wa diski (ms)Namba ya diskiTupaOnyesha hakiki ya taswiratuli katika kona ya juu-kushoto mwa skrini.Onyesha kichwa cha video juu ya filamu.Onyesha hakikisho la taswiratuli ya videoMzingiro wa DolbyAcha fremu zilizochelewaChopeka towe ya video ndani ya kiolesura kikuu.Video chopekeWezeshaWezesha usikikoWezesha picha dogoWezesha upanuaji muda wa usikikoWezesha videoWezesha hali ya mandharinyumaHuwezesha ukataji fremu katika mtiririko wa MPEG2. Ukataji fremu hufanyika wakati tarakilishi yako haina nguvu tosheleziImesimbwa naLazimisha usawazishaji wa video ndani ya dirisha. Kwa chaguo-msingi (0) itawekwa katikati (0=katikati, 1=kushoto, 4=juu, 8=chini, unaweza pia ukatumia muungano wa thamani, kama vile 6=4+2, kumaanisha juu-kushoto).KipindiMstatili pembe-sawaVitengo zaidi vya violesuraTafuta kasiPendelea kasi juu ya usahihi wakati unatafutaUhifadhimuda wa faili (ms)VichujioRekebisha kimo cha HDTVLazimisha umwegaji wa S/PDIFLazimisha ugunduzi wa Dolby SurroundLazimisha nafasi ya manukuuKima cha fremuIliyojaaMpambanuo wa Juu Kamili (1080p)Towe ya video skrini nzimaMchezoMipangilio ya kijumla ya usikikoMipangilio ya jumla. Tumia kwa tahadhari...Tabia ya kijumla ya orodha chezeshiMipangilio ya jumla ya vitengo usikiko towe.Mipangilio ya jumla ya vitengo towe vya videoMipangilio ya jumla ya towe za mitiririkoMipangilio ya jumla ya videoTanzuTowe ya video ya pimajivuMpambanuo wa Juu (720p)VirasikiziFicha kasa na kidhibiti cha skrini nzima baada ya milisekunde xFicha kasa ya kipanya na kidhibiti cha skrini nzima baada ya milisekunde nKikomo cha mchupo (TTL)Mipangilio ya vibonye mkatoLog-Gamma MahulutiITU-R BT.601 (mistari 525, 60 Hz)ITU-R BT.601 (mistari 625, 50 Hz)Fomati ya picha itakayotumiwa kuhifadhi taswiratuli za videoHabari...Ingizo / KodekiOrodha ya ingizoUradidi wa ingizoIngizo hadimu (majaribio)KiolesuraMatumizi ya kiolesuraKitengo cha KiolesuraInawezekana kulemaza usawinishi wa saa ya ingizo kwa ajili ya vyanzo papo. Tumia ikiwa unashuhudia uchezaji mbovu wa mitiririko ya mtandaoni.Ruka hadi muda maalumMatukio ya ubonyezaji dotaLughaLugha ya nakala ya usikiko unayotaka kutumia (zilizogawanywa kwa koma, msimbo wa nchi wenye herufi mbili au tatu, unaweza ukatumia 'none' kukwepa kurejeshwa kwenye lugha nyingine).Lugha ya menyu unazotaka kutumia kwa DVD/BluRay (zilizogawanywa kwa koma, msimbo wa nchi wenye herufi mbili au tatu, unaweza ukatumia 'any' kama chaguo-msingi).Lugha ya nakala ya manukuu unayotaka kutumia (zilizogawanywa kwa koma, msimbo wa nchi wenye herufi mbili au tatu, unaweza ukatumia 'any' kama chaguo-msingi).KushotoKushoto chiniKushoto juuWeka ili video igeze itotshee ndani ya dirisha au skrini nzimaKistariUhifadhimuda wa mnaso papo (ms)Mpambanuo wa Chini (laini 360)MTU ya kiolesura cha mtandaoViolesura vikuuMipangilio ya violesura vikuuUangazaji wa juuTaarifa kuhusu midiaJukumu la (kichezaji) midia kwa ajili ya sera za mfumo endeshi.Jukumu la midiaMidia: %sLugha ya MenyuMenyu ibukiziKichwa cha menyuUangazaji wa chiniMengineyoMipangilio na vitengo vinginezo vya usikiko.Uwiano kima-upana wa pikseli za monitaSauti-monoViashiriaji vya KipanyaMatukio ya kipanyaKiolesura cha towe siesieNyimboNyamazishaViunganishiViunganishaji huunda miundo fungamanishi inayotumika kuweka pamoja mitiririko asili (video, usikiko, ...). Mpangilio huu hukuwezesha kushurutisha kiunganishi maalum. Lakini hufai kufanya hivyo. Pia, unaweza kuweka vigezo chaguo-msingi kwa kila kiunganishi.Uhifadhimuda wa mtandao (ms)Usawinishi wa mtandaoSura inayofuataMakala yafuatayoHakuna maelezo ya kisisimbuzi hikiHakuna kitengo linganifu kinachopatikana. Tumia --list au --list-verbose ili kuorodhesha vitengo vilivyopo.HakunaDokezo:TaarifaKinachochezwa sasaIdadi ya NakalaIdadi ya mara ya kurudiwa kwa ingizoZimaWashaOnyesho la SkriniFungua FoldaFungua SarakaMwelekeoAsiliKitambulisho asiliVitengo toweOnyesha video kwa picha za rangi za pimajivu. Ikiwa taarifa kuhusu rangi hazijasimbwa, inaweza kuhifadhi nguvu ya mchakato.VifungashiVifungashi hutumiwa "kuchakata awali" mitiririko asili kabla ya kuunganisha. Mpangilio huu hukuwezesha kushurutisha kifungashi kila mara. Hufai kufanya hivyo. Pia, unaweza kuweka vigezo chaguo-msingi kwa kila kifungashi.Ukingaji wa kileleKidatoMahali ambapo kichwa cha video kitaonyeshwa (chaguo-msingi ni chini kati).ChezaKasi ya kuchezaOrodha chezeshiNafasi ya kichwa cha videoPendelea kurekodi mtiririko kiasiliaKisimbuaji cha manukuu kinachopendelewaMpambanuko wa video unaopendelewaSura iliyopitaMakala yaliyopitaSamawati MsingiKijani MsingiNyekundu MsingiUzalishajiKipindiVipindiMtupoKinga dhidhi ya ubanaji wa sautiMchapishajiUsawinishi tulivuBahatishaZima KubahatishaMakadirioMwongolezo wa rekodiKistatiliKumbuka sauti ya usikikoToa IliyochaguliwaBadilisha Jina la Mwongolezo...Badilisha Jina la Folda...Rudia ZoteRudia MojaReplay gainHali ya RGCheza kabla ya amplifayaStereo pinduKuliaKulia chiniKulia chiniWakati wa kuendeshaUnaendesha VLC ukitumia kiolesura chaguo-msingi. Tumia 'cvlc' ili kutumia VLC bila kiolesura.Kima cha sampuliHifadhi Orodha Chezeshi kwenye Faili...Hifadhi...Kigao cha kugeza kitakachotumika wakati Ugezo Kiotomatiki umelemazwa. Thamani chaguo-msingi ni 1.0 (ukubwa asilia wa video).UwandaNi fumbeTafutaMsimuChagua "Machaguo Mahiri" kuona machaguo yote.Chagua MwongolezoChagua FoldaChagua faili moja au zaidi ili ufungueChagua hali ya RGUgunduzi wa hudumaVitengo vya ugunduzi wa huduma ni vifaa ambvyo huongeza vipengee kwenye orodha chezeshi kiotomatiki.Inaweka hali ya chaneli za towe za sikiko zitakazotumiwa kama chaguo-msingi kama maunzingumu na mtiririko wa usikiko ni laiki.MipangilioMipangilio ya violesura vya kudhibiti VLCMipangilio ya violesura vya VLCMipangilio ya kuingiza, kuunganisha sehemu, kusimbua na kusimbaMipangilio ya visimbaji na visimbuaji vya manukuu.Mipangilio ya visimbaji na visimbuaji vya usikiko pekee.Mipangilio ya kiolesura kikuuMipangilio ya visimbaji na visimbuaji vya video, picha au video+usikiko.Mipangilio inayohusiana na onyesho la skrini, manukuu na "picha dogo zilizo juu"Mipangilio inayousiana na tabia ya orodha chezeshi (k.m., hali ya uchezaji midia) na kwa vitengo ambavyo huongeza vipengee kiotomatiki katika orodha chezeshi (vitengo vya "ugunduzi wa huduma").Mipangilio inayohusiana na mbinu za kufikia. Mipangilio ya kawaida ambayo ungetaka kubadilisha ni ile ya HTTP au ya hifadhimuda.Onyesha Kilicho Mwongolezo...Onyesha Kilicho FoldaniOnyesha JinaOnyesha machaguo makuuOnyesha kichwa cha midia kwenye videoOnyesha kichwa cha video kwa milisekunde n, chaguo-msingi ni 5000 ms (5s)Onyesha kichwa cha video kwa milisekunde xRuka fremuUwiano kima-upana wa chanzoKipimaspektraSpektraVigawanyajiMpambanuo wa Kawaida (Laini 576 au 480)Wakati wa kuanziaAnza video katika hali ya skrini nzimaStereoHali stereo ya usikikoHali ya usikiko towe stereoWakati wa kukatizaTiririsha %dKitambulisho cha mtiririko wa nakala ya usikiko inayotumiwa.Kitambulisho cha mtiririko wa nakala ya manukuu yanayotumiwa.Vichujio vya mitiririkoVichujio vya mitiririko ni vitengo vinavyoruhusu vitendo mahiri katika upande wa ingizo katika VLC. Tumia kwa tahadhari...Namba ya mitiririko ya kutumia kwenye nakala ya usikiko (kutoka 0 hadi n).Namba ya mitiririko ya kutumia kwenye nakala ya manukuu (kutoka 0 hadi n).Towe la mtiririkoMipangilio ya ingizo la mtiririko hutumiwa wakati inatumika kama seva ya kutiririsha au wakati wa kuhifadhi mitiririko inayoingia. Kwanza, mitiririko huunganishwa kisha kutumwa kupitia kitengo cha "towe fikizi" ambayo inaweza kuhifadhi mtiririko katika faili, au kuitiririsha (UDP, HTTP, RTP/RTSP). Vitengo vya mitiririko hukubalisha michakato (ubadilishaji msimbo, unakili...) mahiri kufanyiwa mtiririko.Mtiririko...Mtiririko / Ubadilishaji-msimbo haukuwezekanaKitengo cha vichujio vya picha dogoKitengo cha vyanzo vya picha dogoManukuuNakala ya ManukuuKodeki za manukuuLugha ya ManukuuNakala ya manukuuKitambulisho cha nakala ya manukuuManukuu/Onyesho la skriniKigao cha kugeza maandishi ya manukuuTelnetJaribioKitengo cha kutungiliza maandishiIdadi ya juu zaidi ya vichujio (%u) imefikiwa.Ukubwa wa kiwango cha sauti kinaweza kusawazishwa kutumia chaguo hili.Mtiririko utaendeshwa katika muda huu (katika sekunde).Mtiririko utaanza katika muda huu (katika sekunde).Mtiririko utakatizwa katika muda huu (katika sekunde).Sauti inaweza kurekodiwa na kurejeshwa kiotomatiki wakati ujao wa VLC kutumiwa.Hali ya mandharinyuma hukuwezesha kuonyesha video kama mandharinyuma ya dawati.Chaguo hizi hukuwezesha kusabidi violesura vinavyotumiwa na VLC. Unaweza kuchagua kiolesura kikuu, vitengo zaidi vya kiolesura, na ufafanue chaguo zinginezo zinazohusiana.Chaguo hizi zinakuwezesha kubadilisha tabia ya mfumondani wa usikiko, na kuongeza vichujio vinavyoweza kutumika ili kuchakata baadaye, au adhari zinazoonekana (kichanganuzi cha spektra, n.k,). Wezesha vichujio hivi hapa, na uvisabidi katika kitengo cha "vichujio vya sikiko".Machaguo haya hukuwezesha kubadilisha tabia ya mfumondani wa kuingiza, k.v., kifaa cha DVD au VCD, mipangilio ya kiolesura cha mtandao au chaneli ya manukuu.Machaguo haya hukuwezesha kubadili tabia ya mfumondani wa picha dogo. Kwa mfano, wezesha vyanzo vya picha dogo (logo, n.k.). Wezesha vichujio hapa na uvisabidi katika kitengo cha "vichujio vya vyanzo vidogo". Pia, unaweza ukaweka machaguo mengineyo ya picha dogo.Machaguo haya hukuwezesha kubadilisha tabia ya mfumondani wa towe ya video. Kwa mfano, unaweza kuwezesha vichujio vya video (kufumulisha, kusawazisha picha, n.k). Wezesha vichujio hivi hapa na uvisabidi katika kitengo cha "vichujio vya video". Pia, unaweza kuweka machaguo zaidi ya video.Huongeza vichujio baada ya kuchakata usikiko, ili kurekebisha sauti inavyotoka.Huongeza vichujio vya baada ya mchakato vya kuboresha picha, kwa mfano ufumuaji, au kubadili video.Huongeza "vichujio vya picha dogo". Huchuja picha dogo zilizotengenezwa kwa visimbuaji vya manukuu au vyanzo vinginevyo vya picha dogo.Huongeza "vyanzo vya picha dogo". Vichujio hivi huongeza picha au maandishi juu ya video (kwa mfano, nembo, maandishi, ...).Huongeza vigawaji vya video kama ukuta au lahikiHuongeza vitengo vya uonyeshaji (kichambuaji cha spektra, n.k.).Hukuwezesha kucheza usikiko haraka au polepole bila kuathiri kidato cha usikikoHuwezesha HDTV-1080 kushughulikiwa bora hata ikiwa kisimbaji kibovu kimeweka kimo kuwa laini 1088. Lemaza chaguo hili tu ikiwa video yako haina fomati sanifu inayohitaji laini 1088.Hukuwezesha kubadilisha kiwango kitakacholengwa chaguo-msingi (89 dB) kwa ajili ya mtiririko pamoja na taarifa ya RGHukuwezesha kucheza kutoka ingizo kadhaa kwa wakati mmoja. Kipengele hiki ni jaribio, sio fomati zote zinamwegwa. Tumia orodha ya ingizo zilizogawanywa kwa '#'.Hukuwezesha kusawinisha baidi saa za seva na mteja. Mipangilio ya undani inapatikana katika Mahiri / Usawinishi wa Mtandao.Huzuia mbubujiko wa towe ya mweuo kitata itokanayo na taratibu za usawinishi wa towe ya video kwenye batli la jumbe.Hufafanua kiwango cha juu cha tukuto la kukawiza ingizo ambacho alogarithimu za usawinishi zinafaa kujaribu kufidiisha (katika milisekunde).Hufafanua kasi ya kucheza (kasi dogo ni 1.0).Hii ni njia ya kuchelewesha towe ya usikiko. Ucheleweshaji lazima uingizwe katika milisekunde. Ni muhimu unapogundua mwendopole kati ya video na usikiko wake.Huacha fremu zilizochelewa (ambazo hufikia towe ya video baada ya muda amabao zilifaa kuonyeshwa)Huwezesha vibonye mkato vya VLC kuingiza kutoka dirisha la video (ambacho sio chopeke).Inawezesha kuzipa rangi jumbe zinazotumwa kwenye dungu. Temino yako inahitaji kumwega rangi za Linux ili ifanye kazi.Huwezesha kushughulikia matukio ya kubofya kipanya katika video.Hulazimisha upunaji wa video asili. Fomati zinazokubalika ni x:y (4:3, 16:9, n.k.) ikiwa ni uwiano kima-upana wa kijumlaHulazimisha uwiano kima-upana wa monita. Monita nyingi huwa ha pikseli mraba (1:1). Ikiwa una skrini ya 16:9, utahitaji kubadilisha chaguo kuwa 4:3 ili pawe na uwiano.Hulazimisha uwiano kima-upana wa chanzo. Kwa mfano, kuna DVD ambazo hujitambulisha kuwa 16:9 ingawa ni 4:3. Inawezatumiwa pia kama dokezo na VLC wakati filamu haina taarifa ya uwiano kima-upana. Hulazimisha upunaji wa video asili. Fomati zinazokubalika ni x:y (4:3, 16:9, n.k.) ikiwa ni uwiano kima-upana wa kijumla, au thamani nukta-elei (1.25, 1.3333, etc.) ikiashiria urobo wa pikseli.Hili ni ingizo zee la kukuwezesha kupanga vitengo vya towe fikiziHii ni namna ambavyo VLC hutumia kutolea sikiko. Tabia chaguo-msingi ni kuchagua kiotomatiki namna bora zaidi.Ongezeko linalotumiwa kwenye mtiririko bila taarifa ya RGNi kikomo cha kuchupia (inajulikana pia kama "Time-To-Live" au TTL) kwa pakiti sie zilizotumwa na towe ya mtiririko (-1 = tumia chaguo-msingi za mfumo endeshi).Hiki ndicho kiolesura kikuu kinachotumiwa na VLC. Tabia chaguomsingi ni kuchagua kitengo bora zaidi kiotomatiki.Ni kiwango cha juu zaidi cha ukubwa wa pakiti katika tabaka la programu tumizi inayoweza kubaligishwa ndani ya mtandao (katika baiti).Ukubwa wa juu zaidi, katika baiti, wa faili za muda zitakazotumiwa kuhifadhi mitiririko iliyobadilishwa muda.Hii ni namna ambavyo VLC hutumia kutolea video. Tabia chaguo-msingi ni kuchagua kiotomatiki namna bora zaidi.Hiki ni kiwango cha maneno (0=makosa pekee na jumbe za kawaida, 1=maonyo, 2=eua kitata).Ongezeko la kimstari litawekwa kwenye towe la usikiko.Chaguo hili hukuwezesha kuweka kichwa kulingana na kinachochezwa
$a: Msanii
$b: Albamu
$c: Hakimiliki
$t: Kichwa
$g: Tnazu
$n: Namba ya Nakala
$p: Kinachocheza sasa
$A: Tarehe
$D: Muda
$Z: "Kinachocheza sasa" (Rejelea Kichwa - Msanii)Chaguo hili linafaa kutumiwa wakati towe ya usikiko haiwezi kupata mwega wa S/PDIF.Programu hii HAINA DHAMANA, hadi kigezo kilichoruhusiwa na sheria. Unaweza kuishiriki kulingana na masharti ya Leseni ya Kijumla ya Umma ya GNU; angalia faili inayoitwa KUNAKILI upate maelezo. Imeandikwa na timu ya VideoLAN; angalia faili ya WAANDISHI. Inachagua programu-jalizi ya kutumia ili kucheza ukichanganya usikiko.Mtiririko huu utawashwa kila wakati VLC ikiwaka.Mwongolezo wa badilimudaUchembechembe wa badilimudaJina la MakalaKichwa %i%sIli kupata usaidizi kamilifu, tumia '-H'FutaNyamazishaJuuJuu KatiJuu KushotoJuu kushotoJuu kuliaJuu-KushotoJuu-kuliaNakalaKitambulisho cha nakalaNamba ya nakalaRG ya NakalaAinaURLHaijafafanuliwaKisisimbuzi kisichojulikanaKosa lisilojulikanaOndoaUtumiaji: %s [chaguo] [mtiririko] ... Unaweza kubainisha mitiririko kadhaa katika mstari amri. Zitaongezwa katika foleni kwenye orodha chezeshi. Kipengee kilichobainishwa mwazo kitachezwa kwanza. Mitindo ya chaguo: --option Chaguo la jumla linaloweka muda wa programu. -option Nakala ya herufi moja ya --option jumla. :option Chaguo linalohusika na mtiririko ulio mbele yake pekee na huondoa mipangilio iliyotangulia. Sintaksia ya Mtiririko wa MRL: [[access][/demux]://]URL[#[title][:chapter][-[title][:chapter]]] [:option=value ...] --options nyingi zinaweza pia tumiwa kama :options za MRL. Multiple :option=value pairs can be specified. URL syntax: file:///path/file Faili ya kawaida ya midia http://host[:port]/file HTTP URL ftp://host[:port]/file FTP URL mms://host[:port]/file MMS URL screen:// Mnaso wa skrini dvd://[device] kifaa cha DVD vcd://[device] kifaa cha VCD cdda://[device] kifaa cha usikiko cha CD udp://[[]@[][:]] mtiririko wa UDP uliotumwa na seva ya mtiririko vlc://pause: Pumzisha orodha chezeshi kwa muda fulani vlc://quit Kipengee spesheli cha kufunga VLC Tumia mfuatano wa namba badala ya vibainishimudaTumia mfuatano wa namba badala ya vibainishimuda kupatia faili nambaUtumie unapojua kwamba mtiririko wako umesimbwa (au haujasimbwa kutumia) Dolby Surround lakini haigunduliwi hivyo. Hata kama mtiririko haujasimbwa kutumia Dolby Surround, kuwasha chaguo hili litaboresha utumiaji, haswa likitumiwa pamoja na Headphone Channel Mixer.VLCVLC inaweza ikaepuka utengenezaji wa manukuu, fremu, n.k..., na kulipa dirisha mwonekano pungufu.VLC inaweza kuonyesha jumbe juu ya video. Inaitwa OSD (Onyesho la Skrini).VLC haikuweza kuusimbua muundo "%4.4s" (%s)VLC haikutambua kisisimbuzi cha usikiko au videoVLC haikuweza kufungua kitengo cha %s.VLC haikuweza kufungua kitengo cha kusimbua.VLC imeshindwa kufungua MRL '%s'. Angalia batli upate maelezo.Kichezaji cha midia cha VLCKwa kawaida, VLC hutumia Freetype kutungiliza, lakini chaguo hili hukuwezesha kutumia .svg.Mapendeleo ya VLCToleo la VLC %s (%s) Utekelezaji wa Video Inapohitajika wa VLCVOD Kitengo cha kupima sautiIdadi ya maneno (0,1,2)Mpambanuo wa Chini Sana (laini 240)VideoUgezaji Kiotomatiki wa VideoNakala ya VideoJira X ya videoJira Y ya videoUsawazishaji wa videoKodeki za videoUpunaji videoKitengo cha vichujio vya videoVichujio vya video hutumiwa kuchakata mtiririko wa video.Kimo cha videoKitengo cha towe ya videoMpambanuko wa videoKigao cha kugeza videoMipangilio ya videoMwongolezo wa taswiratuli za video (au jina la faili)Kitangulizi cha faili ya tasiwiratuli ya videoFomati ya tasiwiratuli ya videoKimo cha taswiratuli ya videoUpana wa tasiwiratuli ya videoKitengo cha kugawanya videoVigawanyaji vya video hutenganisha mtiririko kuwa video nyingi.KIchwa cha videoUpana wa videoEneo la uonekanajiKidatoBingirishaMramaUonyeshajiSauti %ld%%MawimbiWavutiIwezekanapo, ingizo la mtiririko litarekodiwa badala ya kutumia kitengo cha towe la mtiririkoWakati fomati kadhaa za video zinapatikana, chagua ambayo mpambanuko, kwa namba ya laini, wake u karibu na mpangilio huu (lakini sio juu yake). Tumia chaguo hili kama hauna nguvu toshelezi ya CPU au upanabendi wa mtandao unaohitajika kucheza mipambanuko ya juu.Ikiwezeshwa, kiolesura kitaonyesha kisanduku kidadisi kila wakati ingizo la mtumiaji litahitajika.Ikiwezeshwa, mapendeleo na/au violesura vitaonyeshana chaguo zote zilizopo, ikiwemo zile ambazo watumiaji hawafai kugusa.Ukitumia ingizo la PVR (ama chanzo kisicho cha kawaida), unafaa kuweka thamani hii kuwa 10000.Kituo cheupeMapambio ya dirishaNdioUnaweza kulemaza kabisa towe ya usikiko. Hatua ya kusimbua usikiko haitatokea, hivyo, kutahifadhika nguvu ya kuchakata.Unaweza kulemaza uchakataji wa picha dogo.Unaweza kulemaza kabisa towe ya video. Hatua ya kusimbua video haitatokea, hivyo, kutahifadhika nguvu ya kuchakata.Unaweza kulazimisha kimo wa taswiratuli ya video. Kwa chaguo-msingi, itakuwa na kimo asilia (-1). Kwa kutumia 0, itageza kimo, uwiano kima-upana ubaki asilia.Unaweza kulazimisha mahali paanzie katika kona ya juu kushoto mwa dirisha (Jira X).Unaweza kulazimisha mahali paanzie katika kona ya juu kushoto mwa dirisha (Jira Y).Unaweza kulazimisha kimo cha video. Ikitumia chaguo-msingi (-1) VLC hujirekebu kutumia sifa za video.Unaweza kulazimisha upana wa video. Ikitumia chaguo-msingi (-1) VLC hujirekebu kutumia sifa za video.Unaweza kulazimisha upana wa taswiratuli ya video. Kwa chaguo-msingi, itakuwa na upana asilia (-1). Kwa kutumia 0, itegeza upana, uwiano kima-upana ubaki asilia.Unaweza ukatoa orodha ya towe zilizogawanywa kwa koma zitakazo unganishwa pamoja baada ya ile ya kawaidaUnaweza kutoa orodha ya vialamisho vya mtiririko ifuatavyo "{name=bookmark-name,time=optional-time-offset,bytes=optional-byte-offset},{...}"Unaweza kuchagua "violesura zaidi" vya VLC. Zitawashwa katika mandharinyuma pamoja na kiolesura chaguo-msingi. Tumia orodha ambayo vitengo vya violesura vimetengwa kwa koloni. (thamani za pamoja ni "rc" (remote control), "http", "gestures" ...)Unaweza kuchagua violesura vya kudhibiti VLC.Unaweza ukatumia chaguo hili kuweka manukuu chini mwa filamu, badala ya juu mwa filamu. Jaribu nafasi kadhaa.Unaweza ukakuza video ukitumia kigao bayana.Ingizo lako haliwezi kufunguliwaKuzaKuza videoongeza --advanced kwenye mstari-amri ili kuona machaguo mahiri.bulikisimbuzinukta-eleiintejalibavformat AVIO towe fikizikifungashiutungo